Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version в хорошем качестве

Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version 9 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version

Ingekuwa shule ya msingi, ungemuita Toto Tundu, kwa jinsi mwalimu anavyopata shida kukubaliana nae, ila katika hali aliyopo sasa, si tofauti sana....Namzungumzia Mhe. Tundu Lissu. Mmoja kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alie mahiri kwa kusema bila woga, na mwenye sifa ya kusumbua kiti kwa hoja zake makini ila mara nyingi zenye kuchokoza na kuhamsha mijadala motomoto. Mtaalamu wa Sheria, na mmoja wa Mawakili wenye ruhusa ya kitaaluma kutetea katika mahakama zetu, Mhe Lissu amekuwa mmoja kati ya wabunge walioweza kuweka bayana utata wa kisheria unaoibuka katika hoja mbali mbali ndani ya Bunge, na pia amekuwa mstari wa mbele katika harakati mbalimbali za kisiasa na kijamii hasa pale msaada wa kisheria unapohitajika. Wanamkasi wameamua kumuita kikaangoni, tuweze kushiriki nanyi yale machache aliyonayo, kadri muda unavyoruhusu. Salama, Mubah na John ana kwa ana na Mhe Lissu kwenye Mkasi Yote kwa hisani ya Coca Cola, Tusker Tanzania na Airtel Tanzania. Follow MkasiTV on Facebook :   / mkasitv   Twitter : @MkasiTV

Comments