Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Sh 7.5 bilioni kutumika ujenzi wa awamu ya kwanza ya viwanja vya nanenane Dodoma в хорошем качестве

Sh 7.5 bilioni kutumika ujenzi wa awamu ya kwanza ya viwanja vya nanenane Dodoma 2 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Sh 7.5 bilioni kutumika ujenzi wa awamu ya kwanza ya viwanja vya nanenane Dodoma

Serikali imetenga Sh 7.5 bilioni kwaajili ya awamu ya kwanza ya ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonyesho ya nanenane jijini Dodoma yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 01, 2024 ambapo mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo atakuwa Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na kilele kinatarajiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi. Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo Jumanne, Juni 04, 2024 jijini Dodomba ambapo ameeleza kuwa kaulimbiu ya maonyesho hayo kwa mwaka huu ni chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

Comments