Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MIZANI YA WIKI: Kifo cha Magufuli; Mwanzo wa Samia Suluhu: Tutafika tunakotamani? в хорошем качестве

MIZANI YA WIKI: Kifo cha Magufuli; Mwanzo wa Samia Suluhu: Tutafika tunakotamani? 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MIZANI YA WIKI: Kifo cha Magufuli; Mwanzo wa Samia Suluhu: Tutafika tunakotamani?

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, Tanzania imejikuta ikiingia kwenye historia mpya ya kuondokewa na kiongozi wa juu aliyepo madarakani pia makamu wake Samia Suluhu akaapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, Tanzania inaweza kuhimili hali hii na ikasonga mbele bila kutetereka kwenye nyanja yoyote ile? Faraja Sendegeya amewaalika, Profesa Ruth Meena kutoka Mfuko wa Wanawake Tanzania, Balozi Christopher Liundi, na Thabit Mlange ili kujadili kwa kina. Ungana nao ndani ya MIZANI YA WIKI. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM:   / azamtvtz   ►INSTAGRAM:   / azamsports2   ►TWITTER:   / azamtvtz   ►FACEBOOK:   / azamtvtz   ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Comments