Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб DC MAGOTI ARUDI MSIKITI ULIOLAZA WATOTO 90+, ACHANGIA MIFUKO 300 YA CEMENT “MMETEKELEZA AGIZO HARAKA в хорошем качестве

DC MAGOTI ARUDI MSIKITI ULIOLAZA WATOTO 90+, ACHANGIA MIFUKO 300 YA CEMENT “MMETEKELEZA AGIZO HARAKA 4 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



DC MAGOTI ARUDI MSIKITI ULIOLAZA WATOTO 90+, ACHANGIA MIFUKO 300 YA CEMENT “MMETEKELEZA AGIZO HARAKA

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama, ametoa mifuko 300 ya cement kwenye vituo viwili vinavyotoa mafundisho ya Dini ya Kiislamu ikiwemo kituo kilichopo Msikiti wa Masjid Salaf uliopo Kiluvya Madukani, hatua hii inakuja siku mbili tangu aagize kituo hicho kifungwe na kuwarejesha Watoto zaidi ya 90 kwa Wazazi wao hadi watakapojenga mabweni na kupewa kibali maalum cha kuendesha mafunzo hayo, hii ni baada ya kubaini Watoto hao wanalazwa katika eneo dogo Msikitini na wengine nje ya Msikiti huku mazingira wanayopikia chakula na yanayowazunguka yakiwa hatarishi na machafu. DC Magoti ambaye amefika Msikitini hapo akiwa na Sheikh wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtupa, ametoa mifuko 150 ya cement kwenye Msikiti huo na mifuko mingine 150 kwenye Msikiti mwingine unaoitwa Masijid Abdulaziz Ashlak ambako nako walibaini Watoto wakiwa wanalala kwenye mazingira yasiyo rafiki na salama na akaagiza warejeshwe mwakao “Nimefurahi agizo limetekelezwa ndani ya saa 24, nimeamua kuchangia ujenzi na nitasaidia michakato yote ya hati ya kiwanja na usajil wa kituo” Kiongozi wa kituo hicho, Sheikh Abdul Hamid amemshukuru DC Magoti kwa kuwachangia cement huku akimuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa ujumla kuwachangia pia kila mmoja kwa kile atakachojaaliwa ili wawezeshe kujengwa kwa Hostel ya ghorofa 5 na Watoto warejee kuendelea na masomo… namba za kuchangia ni Tigo Pesa 0719380268 (Jina Abdallah Samudu)

Comments