Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO в хорошем качестве

MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO 8 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MIMINA NEEMA_OFFICIAL VIDEO

Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa nyimbo 12 zinazofanya Album hii. Jipatie nakala yako ya DVD sasa. Piga simu namba +255 715 160 055 au +255 743 731 937 Miongoni mwa nyimbo bora za Kwaya Katoliki, tusikilize na Kutazama kwa afya ya Roho zetu. Tusikilize sauti tamu na Maneno Matamu kutoka kwa wanakwaya hawa. Mungu atubariki sote. Tunapoendelea kuomba Mungu amimine neema kwetu, tuendelee pia kuzitafuta habari zake, habari za mwana wake Yesu Kristo, Habari za Yesu. #kwayakatoliki

Comments