Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Buki - Jana (Official Music Video) в хорошем качестве

Buki - Jana (Official Music Video) 2 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Buki - Jana (Official Music Video)

#jana #Buki #hitsong Produced by Morebeatz & GopaBeatz For Bookings: Contacts -- [email protected] [email protected] Connect With Buki On: Instagram:   / buki_tz   Lyrics: Nimefunzwa na ngariba Nguzo ya mapenzi tabasamu Njoo nikupe kauli za Huba Za pwani mimi mzaramu Nimeumbiwa mahaba Kucheat cheat Haramu Kwenye mali mahamuma Ila mapenzi imamu Kama unanipenda Ninunulie zeze aaah Nikilala kitandani Aah Zeze lanibembeleza Kama unanipenda Simama tucheze aah Wendo wangu wahubani aaah Pendo limenilegeza aaaanha Jana nililala nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi mpenzi utaniumiza Jana nililala nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza I love you Nyang’anyang’a X2 Bora nitoke machozi Nikiwa kando yako Kuliko nienjoy mimi Mbali nawe Bora hata ukonde mwili Nikiwa kando yako Kuliko ninawiri mimi Mbali nawe Uuuuuuh uuh Raja ko Rani se pyaar Ho Gaya(राजा को रानी से प्रेम हो गया) Uuuuuuh uuuh Mseme musiseme nimezamia Aaaah aaah Lalalilalilalah siwezi ongea Haya kwangu ni mapya Kanipania Kama unanipenda aaah ninunulie zeze aanha Nikilala kitandani Zeze lanibembeleza Kama unanipenda Simama tucheze We ndo wahubani Pendo limenilegeza Jana nililala Nikakuota nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza Uuuuuh jana nililala Nikakuota Nikakuwaza Kwa yako mapenzi Mpenzi utaniumiza I love you Nyang’anyang’a X2

Comments