Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mgambo ashushiwa kipigo na machinga kisa matikiti, akimbilia kanisani в хорошем качестве

Mgambo ashushiwa kipigo na machinga kisa matikiti, akimbilia kanisani 2 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mgambo ashushiwa kipigo na machinga kisa matikiti, akimbilia kanisani

Askari wa Jeshi la Akiba maarufu kama 'mgambo' ambaye jina lake halikutambulika amekimbilia kanisani kunusuru maisha yake baada ya kushushiwa kipigo na wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga. Tukio hilo limetokea leo Jumatano Julai 10,2024, eneo la Soko la Buhongwa jijini Mwanza, wakati kikosi kazi hicho cha mgambo kilipokuwa kikikamata matunda ya machinga wanaofanya biashara katika eneo hilo. Mwananchi imefika eneo la tukio saa 3:20 na kukuta umati wa machinga wakiwa wamezingira uzio wa Kanisa Katoliki Kigango cha Buhongwa wakishinikiza mgambo huyo atolewe nje ili waendelee kumshushia kipigo kwa kile wanachodai ni kuchoshwa na tabia ya mgambo hao kuwanyang’anya na kuharibu bidhaa zao. Akisimulia mkasa uliomkumba mgambo huyo, machinga katika eneo hilo, Abdallah Mohammed amesema kikosi kazi hicho kimewasili Buhongwa saa 3:00 asubuhi ya leo na kuanza kuchukua matikiti na mananasi ya mfanyabiashara eneo hilo ndipo kikazingirwa na machinga na kuanza kushushiwa kipigo. Soma zaidi www.mwananchi.co.tz

Comments