Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Ali Mukhwana - Yesu Amefanya (Official Video) Skiza 69312491 в хорошем качестве

Ali Mukhwana - Yesu Amefanya (Official Video) Skiza 69312491 4 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Ali Mukhwana - Yesu Amefanya (Official Video) Skiza 69312491

UPEO TALENT AGENCY PRESENTS YESU AMEFANYA BY ALI MUKHWANA Stream/Download: https://distrokid.com/hyperfollow/ali... Skiza Code: 69312491 Bookings: [email protected] or call +254722654339 Subscribe for more official content from Ali Mukhwana https://www.youtube.com/c/alimukhwana... PROJECT CREDITS Songwriter: Ali Mukhwana   / mukhwanaa   Performer: Ali Mukhwana   / alimukhwana   Audio producer: EsyNet Records [+254727742280] Video Director: Jijo Drumbeats   / jijodrumbeats   Project Manager: Mike Mutenyo   / mikemutenyo   Special Appearance: Celestine Gachuhi, Actor, Mentor & GBV Advocate   / celestinegachuhi   Locations: Location 1. Komarock Modern Healthcare   / komarockmodern   UTAWALA BRANCH (+254730963000) Ndege View Estate, Utawala Special Thanks to Jeffa Flexx For The Location   / jeffaflexx_   Location 2. Naiposha Gardens, Limuru Follow Ali Mukhwana: Website: http://alimukhwana.com/ Instagram:   / alimukhwana   Facebook:   / mukhwanaa   Twitter:   / alimukhwana   Thank you for your support by helping me create more music for God's Kingdom: LIPA NA MPESA (BUY GOODS) - TILL NUMBER 9222473 Playlist Best of Ali Mukhwana:    • Ali Mukhwana Songs   YESU AMEFANYA LYRICS {ee bwana, usikie kuomba kwangu, kilio changu kikufikie, usifiche uso wako kwangu bwana, nina imani na wewe} Amefanya njia, Amefanya, {lililo onekana} Lililo onekana ni ngumu, {bwana amefanya} Bwana amefanya, {amefanyaaa} Amefanya njia {amefanyaa bwana wa majeshi} Amefanya {lililo onekana ni ngumu} Lililo onekana ni ngumu {simba wa yuda} Bwana amefanya, {ooh jehovaa} Ee bwana jinsi yalivyo matendo yako, {ndio…} kwa hekima umefanya vyote pia, Dunia imejawa mali,zako bahari yakusikia, Baba ni lipi usiloliweza, ni lipi linakushinda, Ulifanya njia pasipo na njia baba…baba nakuelewa, Umefanya njia… Amefanya njia {amefanya njia} Amefanya {lililo onekana ni ngumu} lililo onekana ni ngumu {yesu amefanya} Bwana amefanya {ameefanya } Amefanya njia {amefaanya njia} Amefanya . {linalo onekana ni ngumu} Lililo onekana ni ngumu {yesu amefanya} Bwana amefanya. …oh...aha … {asante jehovah..asante mfalme} aha…ooh… Unasema yakwamba wewe ni njia ya uzima Tena mtu haji kwa baba ili kupitia kwako Lililo onekana ni ngumu, bwana umeefanya Ni lipi linalokushinda wewe, ni lipi limeshinda mawazo yako Lililo onekana ni ngumu,, amefanya Amefanya Amefanya njia,{amefanya} Amefanya, {linalo onekana ni ngumu} Lililo onekana ni ngumu,{oh jehovah} Bwana amefanya, {nimekuja kukutia moyo wewe} Amefanya njia {nimekuja kusema na wewe} Amefanya {linalo onekana ni ngumu} Lililo onekana ni ngumu Bwana amefanya{asante mfalme, asante} Amefanya njia, {amefanya ye} Amefanya {linalo onekana} Lililo onekana ni ngumu, {jehovah} Bwana amefanya, {yesu ameefanya} Amefanya njia {amefanyaa } Amefanya {linalo onekana} Lililo onekana ni ngumu {rado shelevaa} Bwana amefanya, {ni yeye aliyetembea juu ya maji} {rado shelevaa , rado savaa} Kama alitembea juu ya maji, anaweza tembea juu ya maisha yako Ah jehovah {lililo onekana} Lililo onekana ni ngumu {yesu} Bwana amefanya{wewe ni simba wa yuda} Lililo onekana ni ngumu {unayo tenda bwana} Bwana amefanya {bahari inakufahamu} Lililo onekana ni{viwete wanamfahamu} ngumu Bwana amefanya. {linalo onekana ,linalo onekana ni ngumu} Ah jehovah Ulitengeneza njia pasipo na njia… kweli umefanya… #AliMukhwana #YesuAmefanya #NyimboZaKuabudu #NyimboZaMaombi #NonStop

Comments