Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MBARONI KWA KUCHOMA PICHA YA RAIS SAMIA, KAMANDA WA POLISI AELEZEA TUKIO ZIMA в хорошем качестве

MBARONI KWA KUCHOMA PICHA YA RAIS SAMIA, KAMANDA WA POLISI AELEZEA TUKIO ZIMA 4 дня назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MBARONI KWA KUCHOMA PICHA YA RAIS SAMIA, KAMANDA WA POLISI AELEZEA TUKIO ZIMA

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania. Aliyechoma picha ya Rais Samia mikononi mwa polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Shadrack Chaula (24), msanii wa sanaa ya uchoraji kwa tuhuma za kuchoma moto picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na kujirekodi video fupi akimkashifu Rais na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga leo Jumanne Julai 2,2024 na kuongeza mtuhumiwa alitenda kosa hilo Juni 30, 2024 katika Kijiji cha Ntokela, Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya. Awali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alilaani tukio hilo na kuagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumchukulia hatua kijana huyo, huku viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kupitia Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa NEC Ndele Mwaselela, wakilaani tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua. Imeandikwa na Hawa Mathia

Comments