Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji в хорошем качестве

Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji 8 дней назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Kikwete akumbushia ukaribu wake na Manji, akumbushia misukosuko iliwahi kumkuta Manji

“Baba yake Mehbub Manji ndiye alikuwa rafiki yangu” maneno ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akisimulia ukaribu wake na aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga SC, marehemu Yusuf Manji. Kikwete anasema Yusuf Manji alikuwa ni kama mwanae kutokana na ukaribu aliokuwa nao yeye na baba yake Mehbub Manji. Rais huyo mstaafu wa Tanzania amesimulia pia namna Yusuf Manji alivyokuwa akimshirikisha nyakti za misukosuko na yeye alikuwa akimtuliza. Imefanyika dua kwa ajili ya Yusuf Manji aliyefariki dunia Juni 30 ,2024 katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. #Dua #MaishaYaManji #YusufManji

Comments