Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб CHANZO CHA ROHO YA UZINZI NDANI YA MTU // ACHA TABIA HIZI в хорошем качестве

CHANZO CHA ROHO YA UZINZI NDANI YA MTU // ACHA TABIA HIZI 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



CHANZO CHA ROHO YA UZINZI NDANI YA MTU // ACHA TABIA HIZI

Wagalatia 5:16-26 Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia. Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe. Kama mkiongozwa na Roho, basi, hamko tena chini ya sheria. Basi, matendo ya kidunia yanajulikana: Uzinzi, uasherati, ufisadi; kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano; husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine kama hayo. Nawaambieni tena kama nilivyokwisha sema: Watu wanaotenda mambo hayo hawataupata ufalme wa Mungu uwe wao. Lakini matokeo ya kuongozwa na Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole na kiasi. Hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo. Wale walio na Kristo wameisulubisha hali yao ya kidunia pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. Tukiishi kwa msaada wa Roho, na tuufuate mwongozo wake. Basi, tusijivune, tusichokozane wala kuoneana wivu. Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account   / siri_za_biblia   SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Comments