Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki" в хорошем качестве

SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki" 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



SUGU: "Please Don't Shut Me! Tubishane kwa Hoja na Siyo Bunduki"

Subscribe    / uwazi   Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, amemshukuru spika wa Bunge, Job Ndugai, kwa kuwahakikishia wabunge wote kuwa kwa sasa wanapohudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma watakuwa salama, halitatokea tukio kama lililomtokea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye alipigwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa nyumbani kwake Mjini Dodoma. Aidha Mh Sugu ameliomba Bunge hilo kuwahakikishia usalama hata wanapokuwa maeneo mengine mbalimbali ya nchi. "Kwa sababu ni uwazi dunia yote inajua wabunge wote wa upinzani na watu wengine wenye mawazo mbadala hawako salama, sasa hatuwezi kujadili mipango katika mazingira ambayo siyo salama, 'So Please Don't Shut Me', natoa ushauri, mawazo, maoni yangu kwa serikali, tubishane kwa hoja na siyo Bullet. Subscribe    / uwazi1   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Comments