Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo в хорошем качестве

Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo 7 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Alichokikuta Rais Magufuli baada ya kufanya ziara ya kushitukiza bandari DSM leo

March 23, 2017 Rais John Pombe Mgufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti juu ya kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa mchanga wa madini kwenda nje ya nchi. Katika ziara hiyo Mhe. Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini kutoka kwenye migodi iliyopo kanda ya ziwa ambayo yamezuiliwa kusafirishwa nje ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya nchi tarehe 02 Machi, 2017.

Comments