Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAOMBI - ElShaddai Choir Dodoma(Official Live Music) в хорошем качестве

MAOMBI - ElShaddai Choir Dodoma(Official Live Music) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MAOMBI - ElShaddai Choir Dodoma(Official Live Music)

Jawabu la kila hitaji tulilo nalo au ulilo nalo kwa MUNGU lipo kwenye maombi,na katika Neno la MUNGU.Maombi na Neno la MUNGU ndiyo njia rahisi itakayokusaidia Kuzungumza na MUNGU umweleze shida zako,ili aweze kukusaidia.Wimbo huu wa maombi unakuhamasisha na kukufundisha kuomba,unapokuwa katika nyakati za shida Uombe hata ukiona majibu yako ni kama yamechelewa bado uendelee kuomba maana MUNGU hachelewi wala hawahi anajibu kwa wakati sahihi sawasawa na mapenzi yake.Zijue ahadi za MUNGU na ujifunze Kumngoja BWANA atakutendea kwa sababu yeye ni Mwaminifu.Daniel alisema,Nikamwelekezea Bwana Mungu uso wangu, ili kutaka kwa maombi, na dua, pamoja na kufunga, na kuvaa nguo za magunia na majivu. Danieli 9:3,Daniel aliomba na Mathayo 17:21 tunaona kuna mambo mengine hayawezekani ila kwa kusali na kuomba.Wimbo huu ukiusikiliza vizuri utaamka tena,utahamasika kumwomba MUNGU,utapata nguvu mpya ya Kuomba na MUNGU atakuhudumia.SUBSCRIBE,SHARE,LIKE NA COMMENT tupe ushuhuda vile MUNGU amekutendea. El shaddai Choir Dodoma tupo tayari kwa ajili ya mwaliko wa huduma kwa madhehebu yote.Tunapatikana JIJI LA DODOMA CHADULU,barabara ya Molena Hotel au Golden fork.kanisa letu lipo mkabala na Shoppers Plaza DCT WATAKATIFU WOTE ANGLIKANA CHADULU. Tunapatikana kwa namba za simu zifuatazo;- +255755499249 Vodacom +255688068068 Airtel +255679682206Tigo Mitandao ya Kijamii Facebook EL SHADDAI CHOIR DODOMA tu follow kwa kubonyeza link👉https://www.facebook.com/100075636841... Instagram @elshaddaichoirdodoma tu follow kwa kubonyeza link👉http://www.instagram.com/p/CXSmX6CIka... Email 👉[email protected] MUNGU AKUBARIKI

Comments