Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Muumbaji Mkuu || Dodoma Adventist Chorus в хорошем качестве

Muumbaji Mkuu || Dodoma Adventist Chorus 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Muumbaji Mkuu || Dodoma Adventist Chorus

Suala la chanzo cha uhai katika dunia yetu linaweza lisiwe geni katika akili zetu leo. Kwa namna mbali mbali unaweza kuwa umekutana na nadharia tofauti kuhusu chanzo cha maisha katika dunia hii. Katika nadharia zote zilizopo haziwezi kushindana na uhalisia mmoja ya kwamba kuna nguvu isiyoonekana tena iliyo kuu mahali fulani ambayo sio tu kwamba iliumba vyote tunavyoviona, lakini pia inaendelea kufuatilia kwa ukaribu maisha ya viumbe ilivyoviumba. Nguvu hiyo sio nyingine bali ni Mungu ambaye ndiye MUUMBAJI MKUU. Wimbo huu ulioimbwa na Dodoma Adventist Chorus {DAC} unatukumbusha kwa kina kuwa Mungu wa Mbinguni sio tu Muumbaji Mkuu bali zaidi sana ni Bwana wa upendo asiyeishia tu kuumba lakini bado anafuatilia kwa ukaribu maisha ya viumbe hivyo. Ubarikiwe sana unapotazama na kusikiliza. ENGLISH: The issue of life on this earth might not be a new thin g in our minds. Somehow you might have already encountered with different Theories of origin of life on this earth. In all of the existing theories, they can't overrule the fact that there is a supernatural power somewhere that not only it created everything that we see but also follows closely the life of those creatures. That Supernatural power is non other than God who is the GREATEST CREATER. This song that has been sang by Dodoma Adventist Chorus (DAC) reminds us deeply that God of Heaven is not only the Greatest Creator but most of all, He is a loving Lord who doesn't end on creating but also follows closely the life of those creatures. Be blessed as you watch and listen Don't forget to SUBSCRIBE Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Muumbaji Mkuu Audio Production: Ararat Studioz Email: [email protected] CONTACTS +255 712 227 383 +255 784 291 945 You can also find us on instagram:   / dodomaadventistchorus  

Comments