Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб "SIKUTAKI" MAKONDA AMTIMUA MENEJA WA RUWASA, AGUNDUA UBADHILIFU NA UONGO в хорошем качестве

"SIKUTAKI" MAKONDA AMTIMUA MENEJA WA RUWASA, AGUNDUA UBADHILIFU NA UONGO 2 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



"SIKUTAKI" MAKONDA AMTIMUA MENEJA WA RUWASA, AGUNDUA UBADHILIFU NA UONGO

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemtaka Meneja wa Mamlaka ya Maji sa fi na Usafi wa mazingira (Ruwasa) Wilaya ya Longido, Ramadhan Musiba kuwasiliana na bosi wake (Katibu Mkuu Wizara ya Maji) ili amuachishe kazi kwa kumdanganya mbele ya wananchi na kushindwa kufuatilia miradi ya maji anayotakiwa kuisimamia. Hatua hiyo imefikiwa leo Mei 23, 2024 baada ya Makonda kufanya ziara ya kukagua Zahanati ya Leremeta iliyopo wilayani Longido na kugundua changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa, Mwenyekiti wa Kijiji cha Leremeta Supuk Melita, amesema wamekuwa na changamoto zaidi ya miezi saba na wamekuwa wakitoa taarifa hiyo lakini hakuna kilichofanyiwa kazi. Meneja huyo alipoulizwa na Makonda, amesema taarifa ya kutopatikana maji eneo hilo aliipata kwa wiki mbili zilizopita. Baada ya taarifa hiyo, Makonda ameng’aka: "Mwenyekiti anasema amekwambia zaidi ya miezi mitatu alafu wewe unasema umepewa taarifa kwa wiki mbili, kwa umri wako unaona ni vizuri kudanganya? Mtafute katibu mkuu mwambie Makonda kasema sifai, hanitaki."

Comments