Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MORAVIAN EFATHA CHOIR NA TUENENDE (OFFICIAL VIDEO) в хорошем качестве

MORAVIAN EFATHA CHOIR NA TUENENDE (OFFICIAL VIDEO) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MORAVIAN EFATHA CHOIR NA TUENENDE (OFFICIAL VIDEO)

Neno la Mungu linatuelekeza watu wote tulioitwa kutumika , namna ya kuenenda katika wito mkuu ndani ya Kanisa la Mungu. Pia Waefeso 5:15A inatuasa kwamba tuangalie sana jinsi tunavyoenenda. Hivyo basi Moravian Efatha Choir M.E.C tumeamua kusimama kwa zamu yetu kulikumbusha Kanisa kwamba imetupasa kuenenda kwa unyenyekevu, upole, uvumilvu tukichukuliana katika Upendo na kwamba tusichukiane bali tuwe na umoja katika Mwili wa Kristo. Mtunzi: Mwl. Fred Mwamakula Audio Production: Fresters Records Video Production :Syberpic Filam

Comments