Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб UTAMBULISHO WA WACHEZAJI SIMBA MNYAMA ANAUNGURUMA MUDA HUU. MUUNGANO WA SIMBA NA VODACOM _ в хорошем качестве

UTAMBULISHO WA WACHEZAJI SIMBA MNYAMA ANAUNGURUMA MUDA HUU. MUUNGANO WA SIMBA NA VODACOM _ 3 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



UTAMBULISHO WA WACHEZAJI SIMBA MNYAMA ANAUNGURUMA MUDA HUU. MUUNGANO WA SIMBA NA VODACOM _

Follow us WHATSAPP GROUP {CMB BRIGHT TV} https://chat.whatsapp.com/Bd2VJx1wynk... Follow us CMB BRIGHT TV on Instagram https://instagram.com/cmb_bright_tv?i... Follow us CMB BRIGHT TV on Facebook https://www.facebook.com/profile.php?... Follow us CMB BRIGHT TV on Twitter https://twitter.com/CmbBright?t=Ko1PT... Follo us CMB BRIGHT TV on Tiktok https://www.tiktok.com/@cmb_bright?_t... CMB BRIGHT TV Ni TV inayokuletea habari, matukio, simulizi, exclusive interview na mambo mbali mbali yanayojiri ulimwenguni. Subscribe channel yetu kisha gusa alama ya kengere ili uwe wa kwanza kupata habari zetu. CMB BRIGHT TV IFUATAYO NI RATIBA YA VIPINDI 1: BACK TO BACK Hiki ni kipindi kinacho waleta au kuwafata wajasiliamali na wafanyabiashara mbali mbali ili kukupa elimu na kukufungua juu ya usiyoyajua. pia kuwafungulia Dunia wafanyabiashara na wajasiriamali ili waweze kujulikana 2: NGUVU YA JAMII Hiki ni kipindi ambacho kinawawezesha watu wanaosumbuliwa na matatizo mbali mbali kama vile magonjwa na kadhalika. Tutaweza kufanya kipindi na mtu ambae ana matatizo yaliyo nje ya uwezo wake kiasi kwamba anahitaji nguvu au mchango wa watanzania ili kuweza kukabiliana na matatizo hayo kitu ambacho kitamsaidia muhusika sauti yake kusikika kwenye jamii na kuweza kupatiwa msaada na jamii au sector husika. Kipindi hiki kitakuwa ni kila siku kuanzia saa11:00 asubuhi hadi saa 2:00 mchana. 3: THE TRUE NARRATION Hii ni kwa ajiri ya kukupa story kali zenye kusisimua na kuhelimisha zilizojiri au zinazojiri hapa duniani. Kipindi hiki kitaruka kila Jumapili na Jumatano saa 2:00 mchana hadi saa 04:00 jioni. 4: JINSI & JINSIA: Hapa utapata kutazama mada mbali mbali zinazohusu mapenzi, majukumu ya kifamilia, malezi, haki na sheria za ndoa. pia utaweza kupata maoni ya watu mbali mbali mtaani kuhusu mada hiyo. 5: LIVE TALENT: Hiki ni kipindi kinachowapa nafasi ya kuonesha vipaji wale wote ambao wana vipaji huko mtaani lakini hawajapata nafasi ya kuingia katika soko la sanaa 6: SCHOOL LIFE: Hi ni kipindi cha shule kwa shule kwa ajiri ya kuzungumza na wanafunzi pamoja na walimu ili kujua mambo mbali mbali ambayo yanawza kufanyiwa ufumbuzi ili kuiboresha sector ya elimu. JE? Una story. kipindi simulizi tukio habari au jambo lolote na unataka kuzungumza nasi kupitia TV yetu? Piga namba +255 718023191 au tutafute whatssap namba hiyo hiyo utapata huduma kwa haraka sana.

Comments