Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Ahmed Shabiby: Ukiona Mbunge Ana V8 Hela Kajiongezea I Hela Wanazopata Wabunge za Kununulia Crown в хорошем качестве

Ahmed Shabiby: Ukiona Mbunge Ana V8 Hela Kajiongezea I Hela Wanazopata Wabunge za Kununulia Crown 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Ahmed Shabiby: Ukiona Mbunge Ana V8 Hela Kajiongezea I Hela Wanazopata Wabunge za Kununulia Crown

Bunge limeendelea na mjadala wa kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2022/2023, Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Shabiby, amesema kitendo cha Serikali kuwakopesha magari watumishi wa Serikali halijafafanuliwa kwa upana hivyo amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, atakapohitimisha hoja yake haweze kulifafanua kwa sababu mtumishi anaweza kupunguza safari za kiserikali ili alilinde gari lake lisiharibike. Pia Mhe. Shabiby, ametoa ushauri kwa Serikali kupunguza gharama za kununua magari ya kifahari kwa Watumishi wa ngazi za chini wawe wanatumia “Double Kibin”, “Prado ndogo” au “Crown” kama Wabunge wanavyotumia “Crown” kwa sababu hela wanazopata Wabunge ni za kununulia “Crown” mpya. #KutokaBungeni #HakunaKuleft

Comments