Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA RAFIKI YAKE NA KUMUIBIA MILIONI 61, KAMANDA AFUNGUKA ILIVYOKUWA в хорошем качестве

ATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA RAFIKI YAKE NA KUMUIBIA MILIONI 61, KAMANDA AFUNGUKA ILIVYOKUWA 3 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA RAFIKI YAKE NA KUMUIBIA MILIONI 61, KAMANDA AFUNGUKA ILIVYOKUWA

Mussa Khamis Bakari alimaarufu kama buda mkazi wa Temeke Dar es salaam anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumuaa Abdallah Twahir Selemeni mkazi wa Chanika baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alichukua mwili wa marehemu na kuutupa pembezoni mwa barabara itokayo Cheka kuelekea beach Kichangani baada ya hapo akachukua kadi ya benki ya marehemu na kwanyakati tofauti tofauti alianza kutoa pesa hizo Taarifa hio imetolewa leo Julai 11,2024 na Kamanda wa Polisi Jumanne Muliro alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano kituo cha Central Polisi Dar es salaam

Comments