Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Nyayo za Mwai Kibaki в хорошем качестве

Nyayo za Mwai Kibaki 2 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Nyayo za Mwai Kibaki

Na katika kile kinachoonekana kama histori kujirudia, tunalinganisha hatua ya kufutilia mbali baraza la mawaziri aliyochukua Rais William Ruto hii leo na mkondo aliochukua hayati Rais Mwai Kibaki ambaye pia aliwafuta mawaziri na mawaziri wasaidizi mwaka wa 2005. Sawia na mtangulizi wake ambaye kushindwa kwake kwenye kura ya maamuzi kuhusu katiba mwaka 2005 kulionekana kama kura ya kutokuwa na imani na serikali yake, Rais Ruto amekuwa akipata shinikizo kubwa kuhusu utendakazi wa serikali yake huku wananchi wakionyesha kutoridhishwa kwao na serikali

Comments