Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Magoli yote | Team Kibwana 2-6 Team Job | Mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024 в хорошем качестве

Magoli yote | Team Kibwana 2-6 Team Job | Mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024 5 дней назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Magoli yote | Team Kibwana 2-6 Team Job | Mechi ya Hisani | Wape Tabasamu 22/06/2024

WAPE TABASAMU: Team Kibwana kwa mara ya tatu imekula kichapo safari hii ikipigwa 6-2 na Team Job katika mchezo wa hisani wa #WapeTabasamu2024 uliopigwa Uwanja wa jamhuri. Morogoro. Magoli ya Team Job yametoka kwa Eng. Hersi Said (13'), Said Ndemla (234'), Prince Dube (27'), George Mpole (78'), Samson Mbangula (79') na Edwini , Balua 90'+4. Magoli yote mawili ya Team Kibwa yamefungwa na Saimon Msuva dakika ya 30 kwa free-kick na dakika ya 47 kwa penati. Haya hapa magoli yote manane.

Comments