Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб LSK yapinga uteuzi wa Faith Odhiambo katika jopokazi la kushughulikia deni la taifa в хорошем качестве

LSK yapinga uteuzi wa Faith Odhiambo katika jopokazi la kushughulikia deni la taifa 6 дней назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



LSK yapinga uteuzi wa Faith Odhiambo katika jopokazi la kushughulikia deni la taifa

Chama wanasheria nchini kimepinga uteuzi wa rais wake katika jopokazi la kushughulikia deni la taifa kikisema ni kinyume cha katiba na ubadhirifu wa fedha za umma. Haya yanajiri siku moja baada ya Rais William Ruto kubuni jopo hilo lenye wanachama 8 kushughulikia deni hilo la shilingi trilioni 10.4 kufuatia malalamishi ya umma kuhusu matumizi ya fedha hizo. Hatua hiyo ni pigo kuu kwa jopokazi hilo linalotarajiwa kuanza kazi na kutoa ripoti yake baada ya kipindi cha miezi mitatu. Ripota wetu Abdiaziz Hashim na taarifa hiyo kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv   Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Comments