Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024 в хорошем качестве

MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024 3 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024

Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78. Magoli yote manne haya hapa....

Comments