Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб CHEKECHE: Kukutana kwa Rais Kim Jong Un na Putin ni tishio kwa mataifa ya Magharibi? в хорошем качестве

CHEKECHE: Kukutana kwa Rais Kim Jong Un na Putin ni tishio kwa mataifa ya Magharibi? 9 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



CHEKECHE: Kukutana kwa Rais Kim Jong Un na Putin ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

Macho na masikio ya mataifa ya Magharibi yalikuwa mjini Vladivostok nchini Urusi ambako mwenyeji Rais Vladimir Putin alimkaribisha mgeni wake kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un. Sehemu kubwa ya mazungumzo yao hayajawekwa wazi, hali ambayo imeibua mitazamo mbalimbali na ubashiri wa masuala ambayo pengine ni ya msingi yamezungumzwa na wawili hao. Wasiwasi mkubwa ni hisia za mazungumzo ya siri kwenye suala la silaha ambazo pengine zikatumika kwenye vita vya Ukraine, hilo linawezekana? Na je, kukutana kwa wawili hao ni tishio kwa mataifa ya Magharibi?

Comments