Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб RAIS MAGUFULI APOKELEWA KIFALME MALAWI/ APIGA KISWAHILI AIRPORT в хорошем качестве

RAIS MAGUFULI APOKELEWA KIFALME MALAWI/ APIGA KISWAHILI AIRPORT 5 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



RAIS MAGUFULI APOKELEWA KIFALME MALAWI/ APIGA KISWAHILI AIRPORT

HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA MALAWI: Rais Magufuli amewasili nchini Malawi kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku 2, kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Prof. Arthur Peter Mutharika. Rais Magufuli akiwa na Mkewe, Mama Janeth Magufuli, wamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Malawi, Bingu Mutharika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Mjini Lilongwe. Akiwa Mjini Lilongwe Rais Magufuli ataweka shada la maua katika mnara wa kumbukumbu ya aliyekuwa Rais wa Malawi Hayati Bingu Mutharika, kisha atafanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Mutharika, na jioni atahudhuria Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa kwa heshima yake na Rais Mutharika. Hapo kesho Rais Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais Mutharika atamaliza ziara yake kwa kufungua msimu wa Soko la Tumbaku na kuzungumza na wadau wa zao hilo na baadaye atarejea nchini Tanzania ambako ataanza ziara ya kikazi ya siku nane (8) katika Mkoa wa Mbeya.

Comments