Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб NISHIKE MKONO - ROSE JOHN в хорошем качестве

NISHIKE MKONO - ROSE JOHN 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



NISHIKE MKONO - ROSE JOHN

Mpenzi mpendwa mfatiliaji wa nyimbo zangu za Mungu,(Gospel Songs), ni upendo wa Mungu ulio mkuu wa yeye mwenyewe kunipa uwezo wa kuimba wimbo huu unao kwenda kwa jina la (NISHIKE MKONO) .Niulete kwako, ni kusudi lake uusikilize na kuutizama ili ufanye jambo kubwa kwenye maisha yako, wengi wanafunguliwa kupitia wimbo huu na kuwekwa huru kutoka kwenye vifungo vya muovu ibilisi shetani, ila tu ni mpaka pale utapoutizama na kuusikiliza kwa moyo na kweli,. Zaidi ili uweze kunisapot na kunitia moyo basi unaweza ku subscribe chanel yangu, ku like, ku share link ya wimbo huu kwa ndugu jamaa na marafiki na kupitia kwenye groups za whatspp ulizo nazo .. utabarikiwa zaidi, na ukiona yampendeza Mungu, basi comment ili niweze kupata kusoma wazo lako nilifanyie kazi na linitie moyo katika Yesu kristo. Namshukuru Mungu wa mbinguni kwa kunipa kipaji na kukifanya dhahiri kikufikie wewe hapo ulipo, na mshukuru Baba yangu wa kiroho nabii ernest. Na mshukuru Mume wangu John, kwa kunipa sapoti kubwa namshukuru producer wa audio zangu Nason, pamoja na Director wa video John Patson, Mungu awatunze na kuwaweka zaidi. Muweze kulitimiza jambo hili la ki Mungu. na Ili uweze kuwasiliana na mimi rose john tumia namba hizi +255 745 175 723 na ili uweze kuwasiliana na Video director wangu tumia namba hizi +255 695 827 669 Ahsante sana Mungu azidi kukupamdisha viwango zaidi. kama afanyavyo kwangu. Amen.

Comments