Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE" в хорошем качестве

ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE" 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE"

Leo nakukutanisha na Tumaini Mabula Kijana mwenye umri wa miaka 32 ambaye kiasili ni Mzaliwa wa Simiyu na alikuja Dar es salaam kutafuta maisha tu, mwaka 2013 alikutana na majanga yaliyomfanya aishie kukaa mahabusu kwa miak tisa na ametoka mwaka huu. Mwezi February 2013 akiwa anaishi Mwananyamala aliazimwa gheto na Rafiki yake ili apumzike na Mpenzi wake , Tumaini akaondoka kwenda Kariakoo alikokuwa anafanya shughul8 za kujitatutia kipato na kuwaacha wawili hap ndani kwae, aliporudi Jioni alimkuta Mwanamke yule Mpenzi wa Rafiki yake akiwa amefariki, wakati huo Rafiki yake tayari alikuwa ameshatoroka na tangu hapo mzigo wa kesi ya mauaji ukamuangukia Tumaini.. Kwa sasa ametoka Mahabusu na hana msaada wowote, hana pa kulala, hana kazi na hana Ndugu wa kumsaidia, amekuja mbele ya Watanzania kuomba support, Tunae Tumaini kwenye Exclusive interview na anasimulia mkasa wake wote kwa urefu, namba za kumsaidia ni 0688580756 Abilahi Abdallah

Comments