Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI... в хорошем качестве

WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI... 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI...

WAZIRI AWESO AMPANDISHA CHEO MENEJA RUWASA SIMIYU JUKWAANI, AGAWA PESA ZAKE za MATUMIZI... Waziri wa Maji Jumaa Aweso leo wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwenye Hafla ya utiaji saini ujenzi wa mradi wa maji kutoka ziwa Victoria kwa ajili ya wananchi wa mkoa huo, amemtangaza rasmi mbele ya umati wa wananchi walioshiriki hafla hiyo Mhandisi Mariam Majala Meneja wa RUWASA Mkoa wa Simiyu kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Simiyu. Mbali na huyo Waziri Aweso amemtangaza Meneja wa Mamlaka ya Maji Bariadi (BARUWASA) Mhandisi Musalika Masatu kuwa Meneja Ufundi wa Mamlaka hiyo, ambapo alisema kuwa wakati taratibu za kuundwa mamlaka hiyo ameamua kuwateua watu hao kutokana na utendaji kazi wao. Hata hivyo Waziri Awezo, aliamtua kutumia nafasi huyo kuanza kutoa zawadi mbalimbali ya pesa kwa watendaji wa Wizara yake, akiwemo katibu Mkuu wa Wizara, pamoja na Dereva wake. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Comments