Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб 🔴 в хорошем качестве

🔴 11 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



🔴

Barabara ya Tarime-Nyamongo-Mugumu, Serengeti yenye KILOMETA 87.14, ni kitendawili kinachotafutiwa mteguzi. Ikipita pembezoni mwa MGODI wa Dhahabu wa Nyamongo (North Mara Gold Mine) unaoshika nambari tatu kwa uzalishaji wa dhahabu nchini; kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Madini ya Machi 2022, mgodi huu ulizalisha ASILIMIA 19 ya dhahabu yote ya Tanzania. Wananchi wa eneo hili wana madai yao! Barabara hii inategemewa na WATALII watokao Hifadhi ya Maasai Mara ya nchini Kenya na kuunganisha Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kupitia mpaka wa Sirari. Kwa sababu ya ubovu wa barabara hii, inawalazimu kutumia hadi Saa Tatu na zaidi kuingia Lango la Lamai (Geti la Kaskazini la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti) na kama ingekuwa na lami ni mwendo wa Saa moja pekee. Je, ni BARABARA ILIYOCHELEWA? Serikali ina majawabu.

Comments