Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Juhudi mpya za EAC kupambana na waasi wa M23 zatoa matumaini в хорошем качестве

Juhudi mpya za EAC kupambana na waasi wa M23 zatoa matumaini 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Juhudi mpya za EAC kupambana na waasi wa M23 zatoa matumaini

Vita vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23 ni moja ya matukio mbaya yaliyojiri katika mwaka 2022. Waasi hao waliopigwa na kusambaratishwa kabisa mwaka 2012 walizuka tena na kuanza kuwapa taabu raia. Je, nini matokeo ya juhudi zinazofanyika kurejesha utulivu katika maeneo ya DRC, ikiwepo pia juhudi ya jumuiya ya Afrika Mashariki kuyakomboa maeneo ambayo yanakaliwa kwa mabavu na waasi hao. Sikiliza repoti kamili wakati tukihitimisha mwaka 2022... #vita #drc #jamhuriyakidemokrasiayacongo #jeshi #waasi #m23 #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Comments