Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Pastor Fred Msungu - Nguvu ya matamko в хорошем качестве

Pastor Fred Msungu - Nguvu ya matamko 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Pastor Fred Msungu - Nguvu ya matamko

SHERIA YA KUTAMKA KWENYE ULIMWENGU WA ROHO ( Part 1 ) Ukisoma kitabu cha Mwanzo sura ya kwanza , ndiyo sura ya uumbaji, lakini katika mchakato wote wa uumbaji utagundua kuna kitu kimetokea ambacho ndicho kilisababisha matokeo. Kitu hicho ni lile tamko la Mungu “ MUNGU AKASEMA ..” Neno hili , kwenye sura ya kwanza pekee limeandikwa mara 11 . Hii inaonesha kwamba kwenye ulimwengu wa roho kanuni ya uumbaji ipo kwenye maneno. Ndiyo maana ninakuombea kupitia somo hili, Roho wa Mungu akufunue zaidi ili uwe mtu utakayetumia maneno yako kwa uelewa wa ki - Mungu

Comments