Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Rachel Isaya- Bado yuko na wewe ft Sifael Mwabuka. (official audio) в хорошем качестве

Rachel Isaya- Bado yuko na wewe ft Sifael Mwabuka. (official audio) 11 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Rachel Isaya- Bado yuko na wewe ft Sifael Mwabuka. (official audio)

Haijalishi umelia kwa muda gani, umesubr muujiza wako kwa muda mrefu au unaumwa, umetafuta kazi hujapata, maisha kwako hayaeleweki pamoja na yote unapaswa kutambua kwamba, Mungu bado yupo na ww. Anasema kwa kitambo kidogo nimekusahau kwa rehema nyingi nitakurudi! lakini pia wewe ni dhahabu huwezi ng'ara ipasavyo bila kupita kwenye moto. Lakin pia ili upate nyumba imara lazima uwe na msingi imara, hivyo basi endelea kunyenyekea na kumgonja kwa Bwana kwa imani kubwa siku moja ndoto yako itatimia. Na utasimulia matendo ya Mungu kwako Kikubwa endelea kuamin ahadi zake ni uhakika. huku ukiendelea kutembea katika mapenzi yake Mungu.

Comments