Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб UFUNUO WAKO #1: Uhesabu mibaraka yote _ Emmy Niyonzima в хорошем качестве

UFUNUO WAKO #1: Uhesabu mibaraka yote _ Emmy Niyonzima 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



UFUNUO WAKO #1: Uhesabu mibaraka yote _ Emmy Niyonzima

NYIMBO ZA WOKOVU #140 Verse 1 Ukichukuliwa na mashaka yako Na kuona hufu kwamba utakwama, Uhesabu mibaraka yake Mungu, Na utashangaa kwa rehema yake Chorus Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, Na utashangaa kwa rehema yake! Verse 2 Na ukiudhiwa na huzuni nyingi, Ukiona msalaba ni mzito, Uhesabu mibaraka kuchwa pia, Na kwa moyo wote utasifu Mungu Chorus Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, Na utashangaa kwa rehema yake! Verse 3 Wengi watamani mali ya dunia; Utajiri wako ni Mwenyezi Mungu. Uhesabu mibaraka na kumbuka: Mali haiwezi kufungua mbingu Verse 4 Na katika mambo yote huku chini Ukumbuke pendo kubwa la Mwokozi! Na ujumlishe mibaraka yote, Tena mwisho atakuchukua kwake! Chorus Uhesabu mibaraka yote Mungu aliyoyakubariki! Ukumbuke mambo yote pia, Na utashangaa kwa rehema yake!

Comments