Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Yanga SC 5-1 ASAS FC | Highlights | CAF CL | 26/08/2023 в хорошем качестве

Yanga SC 5-1 ASAS FC | Highlights | CAF CL | 26/08/2023 11 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Yanga SC 5-1 ASAS FC | Highlights | CAF CL | 26/08/2023

YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano. Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza….. Tazama highlights....

Comments