Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA в хорошем качестве

UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA 4 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



UCHAGUZI WALIMU WAWAINGIZA KWENYE MGOGORO, BAADHI WARUDI CWT WAKISEMA NI BORA KULIKO CHAKUHAWATA

Habel Chidawali-Dodoma Waliokuwa wagombea wa nafasi ya Katibu Mkuu (Tumaini Nyagawa) na Naibu Katibu Mkuu (Nyavidunda David Mhule) wameeleza kinachodaiwa kukiukwa kwa Katiba ya Chama na kufanya baadhi ya watu kupita kwenye uchaguzi huo ikiwemo masuala ya rushwa za fedha na maneno. Walimu hao tayari wameshakata rufaa kwa msajili wakipinga matokeo hayo lakini wakasema ikiwa hawatapata nafasi ya kusikilizwa watakenda kuidai haki yao mahakamani. Kwa upande wake Hilary Mwingine amesema Pamoja na kitakachofanyika, lakini hana Imani tena na CHAKUHUWATA badala yake anaona bora kurudi CWT walikokuwa wamehama kwani kumekuwa na unafuu mkubwa ukilinganisha na chama hicho kipya.

Comments