Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI 22/1/20199 в хорошем качестве

HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI 22/1/20199 5 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



HOTUBA YA MAGUFULI KWENYE MKUTANO NA WADAU WA MADINI 22/1/20199

Rais John Magufuli siku ya Jumanne alikutana na kufanya mkutano na wadau mbalimbali wa madini mkutano ambao uliwashirikisha wakuu wa mikoa, mawaziri na wafanyabiashara wa kada mbalimbali za sekta hiyo. Baada ya kusikiliza yote yaliyozungumzwa, Rais Magufuli akatoa hotuba yake akisisitiza kutazamwa vyema kwa msururu wa malipo kwenye sekta hiyo pia akataka kuimarishwa kwa ulinzi kwenye maeneo ya uchimbaji na kumtaka waziri wa madini, Dotto Biteko kuhakikisha kamera za CCTV zinafungwa ndani ya mwezi mmoja.

Comments