Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб KWANI TUMEKOSANA LINI? WANANCHI WA NYAMONGO WAMGOMEA CHANDI в хорошем качестве

KWANI TUMEKOSANA LINI? WANANCHI WA NYAMONGO WAMGOMEA CHANDI 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



KWANI TUMEKOSANA LINI? WANANCHI WA NYAMONGO WAMGOMEA CHANDI

Habari na @Fredrizzo Jambo Tv Kufuatia Ziara ya mawaziri wawili May 30 Mhe. Mavunde waziri wa Madini na Mhe. Masauni waziri wa mambo ya ndani kutembelea kijiji cha nyamongo Tarime DC mkoani Maraambao walitarajiwa kuwasilisha katika viwanja vya shule ya Nyakabindi majira ya saa 4 asubuhi na wananchi kukusanyika na badala yake wakafika jioni majira ya saa 11 jambo ambalo lilionesha kuwakwaza wananchi waliyojikusanya tangu asubuhi, Akipanda jukwaani na kuwasilimu wananchi wa nyamongo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndg. Chandi Wananchi hao walionesha wazi hasira zao kwa kukataa salamu yake na kuzomea,.. "Kwani tumekosana lini?" alihoji Chandi M/kiti CCM Mara Tazama video #ccm #jambotv #trending #chandi

Comments