У нас вы можете посмотреть бесплатно RASTAFARI TUNAONEKANA KAMA RAIA DARAJA LA PILI, WAZUNGUMZIA TAMKO LA SERIKALI или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru
The Chanzo imefanya mahojiano na Muhemsi Mwakihwelo, mmoja wa wanajamii wa imani ya ‘Rastafari’ pamoja na mwanachama wa Rastafari United Front (R.U.F). Ameelezea mengi ikiwemo chimbuko la Imani yao, jinsi jamii inavyowachukulia, mmea wa cannabis sativa. Pia ametoa maoni dhidi ya tamko la kamishna wa elimu Dr. Lybwene M. Mtahabwa kuwataka wanafunzi wa imani hiyo kuwa na kibali kinachowaruhusu wanafunzi hao kusoma shuleni wakiwa na rasta asilia. Fuatilia mahojiano yote kupitia channel ya The Chanzo pekee.