Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб “Kila mwafrika ni rasta” - Ras Inno aanika historia ya Rastafari & Reggae (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA) в хорошем качестве

“Kila mwafrika ni rasta” - Ras Inno aanika historia ya Rastafari & Reggae (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA) 5 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



“Kila mwafrika ni rasta” - Ras Inno aanika historia ya Rastafari & Reggae (NYUNDO YA BARUAN MUHUZA)

Ni kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza cha Alhamisi Machi 7, 2019 ambapo mgeni alikuwa ni gwiji wa muziki wa reggae barani Afrika, Innocent Nganyagwa au Ras Inno. Amefunguka mengi, kubwa ikiwa ni historian a utamaduni wa Rastafari, maana ya kuwa rasta, malengo ya mtu kuwa rasta na baadhi ya tofauri kati ya rasta na mtu asiye rasta. Kuhusu chimbuko la rasta, Inno amesema waafirika wote ni rasta, kwakuwa asili ya utamauni huo ni Afrika huku akifafanua sababu za kusema hivyo. Ras Inno pia amesimulia historia yake na historia ya muziki wa reggae duniani ambapo amethibitisha kuwa muziki wa reggae ni muziki wa waafrika. #NyundoYaBaruanMuhuza ni kila Alhamis saa 1:00 usiku #AzamSports2 #RasInno #InnocentNganyagwa

Comments