Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus в хорошем качестве

Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Wimbo wa Sifa || Dodoma Adventist Chorus

Ufunuo wa Yohana 15:2-4 [2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu. [3]Nao wauimba wimbo wa Musa, mtumwa wa Mungu, na wimbo wa Mwana-Kondoo, wakisema, Ni makuu, na ya ajabu, matendo yako, Ee Bwana Mungu Mwenyezi; Ni za haki, na za kweli, njia zako, Ee Mfalme wa mataifa. [4]Ni nani asiyekucha, Ee Bwana, na kulitukuza jina lako? Kwa kuwa wewe peke yako u Mtakatifu; kwa maana mataifa yote watakuja na kusujudu mbele zako; kwa kuwa matendo yako ya haki yamekwisha kufunuliwa. Bwana akubariki unapotazama na kusikiliza wimbo huu. Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Wimbo wa Sifa Audio Mixing and mastering: BJ Brand Email: [email protected] CONTACTS +255 712 227 383 +255 784 291 945 You can also find us on: Audiomack: https://audiomack.com/dodomaadventist... Instagram   / dodomaadventistchorus  

Comments