Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Chagueni || Dodoma Adventist Chorus в хорошем качестве

Chagueni || Dodoma Adventist Chorus 6 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Chagueni || Dodoma Adventist Chorus

Yoshua 24:14-15 Basi sasa mcheni BWANA, mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli; na kuiweka mbali miungu ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, na huko Misri; mkamtumikie yeye BWANA. Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA. Lyrics Ee Israeli Leo ninataka ukumbuke Nilipokutoa hadi nilipokufikisha Nilisikia kilio chako ulipolia Utumwani Misri penye mateso na huzuni Ndipo niliponyosha mkono kukuokoa hata kukusamehe Lakini ulipofanikiwa ukageukia miungu mingine Oh Leo hii nataka tufanye agano Kama ni rehema nimeshazitoa Je ni Nini sijakifanya? Chagueni hivi leo mtakayemtumikia maishani mwenu Je ni Mungu aliyewatoa utumwani? Ooh kumbukeni alivyowavusha katika bahari na kuwapa chakula. Mimi na nyumba yangu tumemchagua, nakushauri nawe umchague. Ee mwanadamu Bwana Mungu leo anasema Je Mimi si Mungu ninayekutakia mema? Ni Mara ngapi nimejaribu kuwakusanya Kama kuku akusanyavyo vifaranga vyake Tambua nimeshafanya yote Kuokoa nafsi yako 'sipotee Hata kumtoa Yesu afe Ili kulipa deni la kifo chako Oh! Na zaidi (Oh na zaidi) Nimekupa ahadi Tamu Ahadi ile ya uzima milele Siku Yesu atakapokuja. Basi chagueni Chagueni hivi leo mtakayemtumikia maishani mwenu Je ni Mungu aliyewatoa utumwani? Ooh kumbukeni alivyowavusha katika bahari na kuwapa chakula. Mimi na nyumba yangu tumemchagua, nakushauri nawe umchague. Artist: Dodoma Adventist Chorus Song Title: Chagueni Audio Mixing and mastering: BJ Brand Video: RJ Studio (Mr RJ) Email: [email protected] CONTACTS +255 746 698 570 +255 622 309 142 You can also find us on: Audiomack: https://audiomack.com/dodomaadventist... Instagram   / dodomaadventistchorus   and all digital platform.

Comments