Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Official Music Video) в хорошем качестве

Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Official Music Video) 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Official Music Video)

Ambwene Mwasongwe Presents the Music Video for "Nifundushe Kuomba" Maelezo ya wimbo wa Nifundishe Kuomba: Nifundishe kuomba ni neno lenye uhitaji wa mtu aliyeguswa na Roho Mtakatifu na akagundua kuna namna mambo hayaendi sawa kwa sababu mbalimbali. Unaweza kuwa unaomba lakini swali ni unaombaje? na ukigundua unaomba vibaya lazima urudi na umuombe akufundishe kuomba ili uombe sawasawa na mapenzi yake. Upande wangu niliomba nifundishwe kuomba nikiwa na mahusiano ya ndani sana na ya karibu ili kuomba kwangu kusizuiliwe. Ni wimbo wa baraka ambao natamani unaposikia upate neema ya kufundishwa kuomba pia. Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe:    • Ambwene Mwasongwe All Music Videos   Follow Ambwene Mwasongwe Instagram:   / ambwenemwasongwe_   Subscribe to Ambwene Mwasongwe:    / @ambweneobadiamwasongwe   Digital Branding & Marketing By: Black Ozen Entertainment Limited:   / blackozenentertainmentlimited   Ambwene Mwasongwe - Nifundishe Kuomba (Lyrics) Jina lako messiah Hili ni ombi langu, Nifundishe kuomba Nifundishe kunena, Nifundishe kiasi Nifundishe imani ya Matendo, nipe moyo wa toba Nautaka uwepo unakoishi , Ambako wewe ni kichwa Cha kanisa. Nazitaka nguvu Ulizonazo wewe, Ninataka upako Maneno yangu, matendo Yangu, tabia yangu, Zifanane na hisia zako. Nikitembea nitembee Na wewe Yesu, Ninataka kushinda aaaiii Nami nakusalute Eeeh master Ninakuimbia wimbo, Ninapaza sauti Nami na kusifu, Kuhani wa ubora. Mmiliki halali kwa Agano la neem. Jina lako ni messiah Hili ni ombi langu, Nifundishe kuomba Nifundishe kunena, Nifundishe kiasi Nifundishe imani ya Matendo, nipe Moyo wa toba Ndani ya moyo Wangu, ninataka Uishi wewe bwana Wa wema Uewezae kuuzuia Ulimi wangu, Usinene sawasawa Na hasira zangu Uewezae kuituliza Akili yangu, Isichanganyikiwe Wakati wa raha Uwezae kunituliza Wakati wa shida na Matatizo. Wakati wengine Wakimbiapo, ukanipe Jibu la mbio zao. Nguvu yako ikanizuie Kwenda pale hakuna Awezae niona, Pale ambapo Hayupo awezae Sema acha, neno Lako likanizuie kufanya. Neema yako Ikanifanye kupakua Chakula tofautu Na njaa yangu. Kule nisikoweza Kwenda mchana, Nisaidie nisiende usiku. Yale nisiyoweza Sema hadharani, Nisiseme gizani. Nautaka uso wako Kama wa chuma Vinyamkela wasioweza Kuustahimili. Naitaka lugha ya Kimbingu, isiyoneneka Isiyonenwa na mtu. Natamani mbingu Za mbingu kwenye Neema, kule Paulo Alipoogelea nguvu zako. Nikitembea, nitembee Na wewe Yesu. Ninataka kushinda aaaaiiii Nitakanyaga mahali waoga hawapawezi. Nitafanya ubabe Kwenye ulimwengu Wa roho Nitapitisha mkong'oto Kwenye mikwamo. Nitaonyesha jeuri Kwa shetani Maana ufalme Nauteka oooo Unatekwa na wenye Nguvu aiiiii Nami nakusalute Ninakuimbia wimbo, Ninapaza sauti Nami nakusifu, Kuhani wa ubora Mmiliki halali wa Agano la neema Jina lako ni Messiah Hili ni ni ombi langu, Nifundishe kuomba Nifundishe kunena, Nifundishe kiasi Nifundishe imani Ya matendo, nipe Moyo wa toba. #AmbweneMwasongwe #NifundisheKuomba

Comments