Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) в хорошем качестве

AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



AMBWENE MWASONGWE - ALIKUTA IBADA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Ambwene Mwasongwe presents the music video for "Alikuta Ibada" Wimbo huu ni maalumu Kwa ajili ya kulikumbusha kanisa la Bwana kuwa tumefikia Hali ileile ya Mafarisayo na Masadukayo ya unafiki..... Nakukumbusha tunapaswa kumwabudu Bwana kwa roho na kweli..... Tuondoe na kuyaacha mambo mengi ya mwili tuliyoyaingiza kanisani, turudi kwanza msalabani Kisha tuendelee na safari.... Mungu akubariki utayeuona huu wimbo na nisaidie kuwatumia link na wengine ili ujumbe umfikie kila MKRISTO Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe:    • Ambwene Mwasongwe All Music Videos   Follow Ambwene Mwasongwe Instagram:   / ambwenemwasongwe_   Subscribe to Ambwene Mwasongwe:    / @ambweneobadiamwasongwe   Digital Branding & Marketing By: Black Ozen Entertainment Limited:   / blackozenentertainmentlimited   Alikuta Ibada - Ambwene Mwasongwe (Lyrics) Alikuta ibada zinaendelea Ila zina tatizo Alikuta maombi yanafanyika Ila yana kasoro Alikuta mifungo inaendelea Ila ina dosari Akakuta sadaka zinatolewa Ila zina makandokando mengi Akashangaa mwili umetawala Badala ya Roho! Akawafundisha ibada za Rohoni Jinsi zitakiwavyo Muombapo msiombe sala ndefu Ili watu wawasifu Mtoapo msitoe kwa matangazo Ili watu wawaone Mfungapo msijionyeshe Ili watu wawasifu Ila baba yenu aliye sirini Yeye atawajazi Mungu ni roho Na wote wamwabuduo Imewapasa kumwabudu Kwa roho na kweli Yeye huona kile ambacho jicho haliwezi kuona Yeye hushika kile ambacho mkono hauwezi kukishika Yeye hutafsiri lugha ya moyo hata mdomo usiposema (Kwake hakuna siri) Akawakemea Viongozi wa dini Na washika sheria Waandishi na mafarisayo Na masadukayo Hawakutaka-Walikasirika Wakaleta vitabu Kwa mamlaka ya nani wafanya haya? Wapate kumshitaki Wakadhani kiroho ni shule Ili wamfedheheshe Akawatazama akawapima Walikuwa weupe Wakamletea mwanamke mzinzi Aliyefumaniwa Wakataka wasikie neno lake Atakavyomuhukumu Akainama akachora chini Akaandika majina yao Ardhi ikageuka "video touch" Wote wakakimbia Mzee wa kanisa alipojiona Akilewa na wake za watu Shemasi kaona aibavyo sadaka Naye akakimbia Wanakwaya wakaona wanavyosengenyana Na kupiga majungu Yesu alipoinuka Wote wamekimbia Akasema na mimi sikuhukumu Nenda usitende dhambi tena! Ole mafarisayo na masadukayo Mwaosha vikombe kwa nje Ila ndani ni vichafu Mwapaka makaburi chokaa Ndani yake ni mifupa Mwawabebesha watu mizigo Ninui hambebi Ole! Mwawatungia wengine sheria ninyi hamzifuati! Ey! Akalikaribia kapu la sadaka Aone wanachotoa Ghafla akamwona mwanamke mjane Anatoa kichache Akasema huyu ametoa vingi Kuliko ninyi nyote Maana kwa Mungu wingi sio idadi Ni ukamilifu wa jambo Wengi mmetoa kwa mbwembwe Vimeonekana vingi Ila mlivyobakisha nyumbani ni vingi Sio kama mwanamke huyu Akaona wanagawana chenji ibadani Akakasirika Wanauza vitu kama mnada hekaluni Mahali pa ibada Akachukua fimbo akawachapa Akapinduapindua Nyumba yangu itakuwa ya sala Sio nyumba ya biashara Uko wapi moyo wa ibada? Uko wapi moyo wa kicho!? Ule moyo wa kutetemeka Tusikiapo neno la Bwana Mambo haya Je yamo kanisani leo basi tujiulize Akija yule mwenye kanisa Je hatatuchapa? Mungu ni Roho Na wote wamwabuduo Imewapasa kumwabudu kwa roho na kweli Maana yeye huona kile ambacho jicho Haliwezi kuona Yeye hushika kile ambacho mkono Hauwezi kukishika Yeye hutafsiri lugha ya moyo hata mdomo usiposema Tunatakiwa tumwabudu Bwana Tusichonge sanamu Tuangalie tusije kujiabudu wenyewe Pamoja na vitu vyetu Tukicheza ili watu watuone Tumejiabudu wenyewe Tukiimba ili watu watufurahie Tumetwaa utukufu Tukigeuka nyuma na kutafuta maoni ya watu Tumejichuuza wenyewe Hicho ndicho kilichomponza lusifa Alitaka asifiwe ooh! #AmbweneMwasongwe #AlikutaIbada

Comments