Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video) в хорошем качестве

Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke (Official Music Video)

Ambwene Mwasongwe presents the Official Music for "Unikumbuke" Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe:    • Ambwene Mwasongwe All Music Videos   Follow Ambwene Mwasongwe Instagram:   / ambwenemwasongwe_   Subscribe to Ambwene Mwasongwe:    / @ambweneobadiamwasongwe   Digital Branding & Marketing By: Black Ozen Entertainment Limited:   / blackozenentertainmentlimited   Ambwene Mwasongwe - Unikumbuke Nimekuita uambie watu ushuhuda wangu Miaka tisa nimekaa jela Nilifungwa kwa kosa la kusingiziwa Namshukuru Mungu nimetoka Usiku ule nilikamatwa kama mchezo Na mke wangu na mtoto mdogo Nikadhani labda walikuwa wanatania Labda ilikuwa siku ya wajinga Hakuna mtu alielewa ukweli wa ushahidi wangu Wala sikuwa na wakumweleza akanielewa Mazingira ya kesi, ushahidi, sheria za kazi Siri ni ban, mpaka mke wangu kaniambia Kama umefanya kiri kosa tujue moja Nikumbuke, kumbuka haki yangu, sikufanya ubaya Nikumbuke, nikumbuke, sikufanya ubaya Nikumbuke, namna walivyonishtaki kwa hila na wivu Nikumbuke, bwana unikumbuke nililia Hey, kumbuka bwana haki yangu Hey, wakumbuke, walivyo kufanikiwa jela Uwakumbuke, Mungu wakumbuke washa mshumaa ndani ya nyumba Mkumbuke mtoto mchanga asiye na hatia Uwakumbuke, kama ningekuwepo angekonda Kumbuka Adam, aliyebaki, alikufanya kushtuka kwa ajili yako Nilidhani Mungu kalisahau faili langu Nikadhani kwamba nitaaibika Sikuwa tena na tumaini lililobaki Haki yangu ilikuwa tumaini pekee Waweza elewa shahidi wangu alikuwa Mungu Labda na wale walioua Mwisho wa siku Mungu alinitetea Na waliofanya kosa kunikana Haki yangu ikasitana kama mtende na mwelezi Pale banoni, walinichimba wakuning'oa sababu ya Mungu Waliinamisha wakunivunja, walinitikisa sikupukutika Walinichuma ili niishe Wewe bwana ulinitetea na haki yangu Nikumbuke, kumbuka maadui walivyonizunguka Nikumbuke, kumbuka ushahidi wa maneno yao Nikumbuke, kumbuka walivyonichafua jina langu Nikumbuke, kumbuka walivyoniona Mi ni mhalifu, hey ukalisafishe jina langu Hey bwana, uwakumbuke! Uwakumbuke Ukarehemu makosa yao Uwakumbuke! Japo walifanya ubaya bwana na uwasamehe Uwakumbuke! Nilienda jela nikiwa bado sikujui Uwakumbuke! Nimetoka nimeokoka nimekujua Nikumbuke! Bwana unikumbuke usinisahau Natengeza fadhili zako, niimbe Mungu baba Nimefurahi, niimbe Mungu bwana Nimefurahi, niimbe Mungu bwana Nimefurahi, niimbe Mungu bwana Nimefurahi, niimbe Mungu bwana #AmbweneMwasongwe #Unikumbuke

Comments