Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video) в хорошем качестве

AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video) 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



AMBWENE MWASONGWE FT BOAZ DANKEN & TAG FOREST YA KWANZA - MWANA WA AZALI (Official Music Video)

Wimbo huu wa MWANA WA AZALI ni wimbo unaomzungumzia YESU KRISTO kama mwana wa MUNGU na ukuu wa kazi zake zilizofanyika kwa utofauti na wale wengine waliotumwa na MUNGU kabla ya kuja kwake. Ni wimbo wa ibada karibu na ubarikiwe na kazi hii Audio Producer SAMUEL MBOYA Video Producer STEVE TOBS MEDIA Subtitle JAGALI DAVID Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe:    • Ambwene Mwasongwe All Music Videos   Follow Ambwene Mwasongwe Instagram:   / ambwenemwasongwe_   Subscribe to Ambwene Mwasongwe:    / @ambweneobadiamwasongwe   Digital Branding & Marketing By: Black Ozen Entertainment Limited:   / blackozenentertainmentlimited   Mwana Wa Azali ft. Boaz Danken & Praise Team Tag Forest Ya Kwanza - Ambwene Mwasongwe (Lyrics) Wakaulizana mtu huyu ni nan? Jina lake nan? Na ametoka wapi? Wakashangaa vile anavyosema Ni tofauti na viongoz wao!!! Anamamlaka na nguvu ya asili Je mtu huy si mwana wa yusuph?? Hawakujua ametoka mbingun Huyu n Mungu pamoja na wanadam Ni mwana wa mungu…….. Nimwana wa Mungu Katoka kwa Mungu….. Mwana wa .. Mungu kwel kwel kwel……. Mungu kwelii kweliiiiii Anauwezo wotee……. Yeye hanamwishoo Ni mwana wa Mungu… Ni mwana wa Mungu Katoka kwa Mungu…. Yeye hajauwaa… Mungu kwelii kwlii Anauwezo wote… Yeye hanamwisho. Akauliza ninyi mwanisemaje?? Tofaut na watu wa nje” Wakamjibu…ya kwamba ni kristo Mpakwa mafuta wa mungu mwenyew Akauliza ninyi mwanisemaje?? Tofautii na watu wa njee” Wakamjibu…ya kwamba ni kristo Mpakwa mafuta wa Mungu mwenyewe Wewe apo ni mkuu kuliko Eliaaa, maana hauchomi watuu… Unasamehe hata wale waliokukosea Kwasabb wewe n Mungu Upo apa… Mkuu kuliko,kiongoz Mussa Yule wa toratii… Mzigo wako ni mwepesii, Nira ako ni lainii Unasamehe hata wenye dhambii Upo apa…. Mkuu kuliko,Samwel nabii Yulee wa mafuta Mafuta yako, unapaka rohon kwa roho mtakatifu Hupaki mwilinii Upo apa…… Mkuu kuliko,mfalme Daudi Aliyekufaaaa… Ufalme wako hauzuiwi na mda na sehemu wadumu hata milele… Ni mwana wa Mungu Mwana wa Mungu Ni mwana wa Mungu Mwana wa Ni mwana wa Mungu Mungu kweli kweliii Ni mwana wa Mungu Yeye hana mwishoo Katoka kwa Mungu Mwana wa Mungu Katoka kwa Mungu Mwana wa… Katoka kwa Mungu Mungu kwel kweliii Katoka kwa mungu Yeye hana mwishoo Ni mungu mwenyewe.. Mwana wa Mungu Ni Munguu mwenyewe.. Mwana wa Ni Mungu mwenyewe.. Mungu kwelii kweliii Ni Mungu mwenyewe…. Yeye hana mwishoo Yeye hakuumbwa mwana wa asali Hana mwanzo wala mwisho Anazo funguo Yeye n njia ya kwenda mbinguni Kama ww unataka kukutana na mbingu Muanimi… Fungua moyo wakoo… Aingie anagonga atawale maisha yako Ni bwana… Mwenye uwezoo Fungua fungua x2 Funguaaa…moyo wakoo Fungua fungua x2 Fungua….moyo wako #AmbweneMwasongwe #MwanaWaAzali

Comments