Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA в хорошем качестве

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA 5 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

HAYA HAPA MATUKIO MATANO YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA June 7, 2019 ilikuwa ni siku ya tofauti sana kwa wafanyabiashara nchini ikiwa ni baada ya Rais Magufuli kuamua kukutana nao Iku,lu jijini DaR ES Salaam kwaajili yakufanya mazungumzo huku kipaumbele kikiwa ni kusikiliza kero zao. Kama ilivyokuwa Ada mazungumzo hayo yalikwenda salama salmini ndani ya masaa 9 Rais Jpm na baadhi ya wafanyabiashara walioziwakilisha Halmashauri zao walikuwa na wakati mzuri kweli kweli kwaajili yakuhakikisha mambo yanakwenda sawa katika biashara zao pamoja na maslahi ya nchi kwa upande wa kodi. MTAZAMAJI HAPA NIMEKUANDALIA MATUKIO MA5 YALIYOTIKISA KATIKA MKUTANO WA JPM NA WAFANYABIASHARA Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Comments